06 · JUNI · 2026

DANFORD

na

WANDE

Tunafunga Ndoa

Kasamwa · Geita

Danford na Wande

Danford & Wande · Pamoja daima 💛

Siku zilizobaki hadi siku kubwa...

--Siku
:
--Masaa
:
--Dakika
:
--Sekunde

✦ DANFORD DOMINIC DAVIDY & WANDE COSMAS BUPINA ✦

Toa Mchango

Shiriki nasi kusheherekea Ndoa Yetu

Mchango wako wa upendo ni baraka kwetu. Kila senti inayotolewa kwa moyo inasaidia kujenga msingi imara wa maisha yetu mapya pamoja.

Jumla Iliyokusanywa TZS 190,000

Lengo: TZS 5,000,000 · 3 watu wamechangia

Double Seat
TZS 70,000

Meza nzuri kwa wawili. Pamoja mnafurahia usiku huu maalum wa furaha na baraka.


Single Seat
TZS 50,000

Kiti kimoja cha heshima. Ushiriki wako peke yako ni muhimu sana kwetu.


Jaza Fomu

Tuma Mchango Wako

Njia za Malipo

Tuma Malipo Hapa

Tuma mchango wako kupitia mojawapo ya njia zifuatazo, kisha ujaze fomu hapo juu ili tujue umeshatuma.

🏦
NBC Bank · Akaunti ya Benki
Namba ya Akaunti
025168039016
Daniford Dominic Olwal
📱
Vodacom · M-Pesa
Namba ya Simu
0761 625 243
Daniford Dominic Olwal

✦ Baada ya kutuma mchango, taja jina lako kamili kwenye maelezo ya uhamisho.
Kwa maswali au msaada piga simu: +255 761 625 243 au +255 614 454 638

Orodha

Walichangia

#JinaAinaKiasiUjumbeTarehe
1 Danford Olwal
0761625243
Double TZS 70,000 Bwana Awatangulie 07/03/2026 19:45
2 Emmanuel Shao
0744444478
Double TZS 70,000 Kila la kheri kwenu, malengo yenu yaendelee kutimizwa na Mwenyezi Mungu. 09/03/2026 05:59
3 Amir
0625133121
Single TZS 50,000 Mungu awafanyie kheri 29/03/2026 17:08
JUMLA YOTE TZS 190,000
Kadi ya Kidijitali

Kadi ya Mwaliko

Andika jina la mualikwa, chagua aina, kisha pakua au shiriki kadi

MWALIKO WA HARUSI
Danford & Wande
06 · Juni · 2026 · Kasamwa, Geita
"Apatae mke hupata kitu chema, naye hupata kibali kwa Bwana."
— MITHALI 18:22
✦ DOUBLE SEAT ✦
MCHANGO
TZS 70,000
Familia ya Mzee Daniel Madale wa Kasamwa na Cosmas Bupina Lugoye Wa Dar es Salaam wanayo furaha kuwaalika kwenye Harusi ya Watoto Wao.
✦ Tuma Mchango Kupitia ✦
🏦 NBC BANK
025168039016
📱 M-PESA
0761 625 243
Daniford Dominic Olwal
Asante kwa upendo wako katika siku hiyo maalum. 💛
Mawasiliano
+255 761 625 243
+255 614 454 638
www.harusi.gstsolutions.co.tz

Shiriki Kadi Hii

QR Code ikiskaniwa na simu yoyote, itampeleka mtu moja kwa moja kwenye tovuti hii. Kadi ina namba za malipo tayari.

QR CODE INAELEKEZA KWA:

https://www.harusi.gstsolutions.co.tz

✦ Asante!
Umefanikiwa.